sw_neh_text_reg/08/11.txt

1 line
260 B
Plaintext

\v 11 Basi Walawi wakawafanya watu kuwa na utulivu, wakisema, "Nyamazeni! kwa maana siku hii ni takatifu. Msiwe na huzuni." \v 12 Watu wote wakaenda kula na kunywa na kugawana chakula na kusherehekea kwa furaha kubwa kwa sababu walielewa maneno waliyohubiriwa.