sw_neh_text_reg/06/01.txt

1 line
342 B
Plaintext

\c 6 \v 1 Wakati Sanbalati, Tobia, Geshemu Mwarabu na adui zetu wengine waliposikia kwamba nilijenga upya ukuta na kwamba hakuna sehemu yoyote iliyoachwa wazi, ingawa sijaweka milango katika malango, \v 2 Sanbalati na Geshemu akatuma wajumbe akasema, "Njoni, tukutane pamoja mahali fulani katika tambarare ya Ono." Lakini walitaka kunidhuru.