sw_neh_text_reg/03/28.txt

1 line
419 B
Plaintext

\v 28 Makuhani wakajenga juu ya lango la farasi, kila mmoja kuelekea nyumba yake. \v 29 Baada yao Sadoki, mwana wa Imeri, alijenga sehemu hiyo kuelekea nyumba yake. Na baada yake Shemaya mwana wa Shekania, mlinzi wa lango la mashariki, akajenga. \v 30 Baada yake Hanania, mwana wa Shelemia, na Hanuni, mwana wa sita wa Salafu, wakajenga sehemu nyingine. Meshulamu mwana wa Berekia akajenga kuelekea kwenye vyumba vyake.