sw_neh_text_reg/03/22.txt

1 line
347 B
Plaintext

\v 22 Kisha baada yake makuhani, watu wa eneo hilo karibu na Yerusalemu, walijenga. \v 23 Baada yao Benyamini na Hashubu walijenga kuielekea nyumba yao. Baada yao Azaria mwana wa Maaseya, mwana wa Anania, alijenga karibu na nyumba yake. \v 24 Baada yake Binui mwana wa Henadadi akajenga sehemu nyingine, kutoka nyumba ya Azaria hadi kona ya ukuta.