sw_neh_text_reg/03/11.txt

1 line
229 B
Plaintext

\v 11 Malkiya mwana wa Harimu na Hashubu mwana wa Pahat Moabu, walijenga sehemu nyingine pamoja na mnara wa tanuru. \v 12 Baada yao Shalumu mwana wa Haloheshi, mkuu wa nusu ya wilaya ya Yerusalemu, akajenga, pamoja na binti zake.