sw_neh_text_reg/03/06.txt

1 line
321 B
Plaintext

\v 6 Yoyada mwana wa Pasea, na Meshulamu mwana wa Besodeya, walitengeneza lango la Kale. Waliweka mihimili, na kuweka milango yake na vyuma vyake na makomeo yake. \v 7 Nao, Melatia Mgibeoni, na Yadoni Meronothi, watu wa Gibeoni na Mispa, walifanyia matengenezo juu ya sehemu ambapo mkuu wa mkoa wa ng'ambo ya Mto aliishi.