sw_neh_text_reg/03/03.txt

1 line
451 B
Plaintext

\v 3 Wana wa Senaa wakajenga lango la samaki. Waliweka mihimili yake na kuweka milango yake na vyuma vyake na makomeo yake. \v 4 Meremoth aliandaa sehemu inayofuata. Yeye ni mwana wa Uria mwana wa Hakosi. Na baada yao Meshulamu akatengeneza. Yeye ni mwana wa Berekia mwana wa Meshezabeli. Karibu nao Sadoki akatengeneza. Yeye ni mwana wa Baana. \v 5 Baada yao Watekoi wakatengeneza, lakini viongozi wao walikataa kufanya kazi iliyoagizwa na wakuu wao.