\v 10 Yoshua alikuwa babaye Yoyakimu, Yoyakimu alikuwa baba wa Eliashibu, Eliashibu alikuwa babaye Yoyada, \v 11 Yoyada alimzaa Yonathani, Yonathani akamzaa Yadua.