\v 29 Walikuja kutoka Beth-gilgali na kutoka katika mashamba ya Geba na Azmawethi, kwa kuwa waimbaji walikuwa wamejijengea vijiji karibu na Yerusalemu. \v 30 Makuhani na Walawi wakajitakasa, kisha wakawatakasa watu, milango na ukuta.