Sun Oct 30 2022 18:48:59 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embrace_wtz 2022-10-30 18:49:00 +03:00
parent ae5107bce6
commit 7332061853
4 changed files with 10 additions and 4 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 9 Uliona shida ya baba zetu Misri na ukasikia kilio chao kando ya bahari ya shamu. \v 10 Wewe ulifanya ishara na maajabu juu ya Farao, na watumishi wake wote, na watu wote wa nchi yake, kwa maana ulijua kwamba Wamisri walifanya kwa kujivunia. Lakini ulijifanyia jina ambalo linasimama hadi siku leo.
\v 9 Uliona shida ya baba zetu Misri na ukasikia kilio chao kando ya bahari ya shamu. \v 10 Wewe ulifanya ishara na maajabu juu ya Farao, na watumishi wake wote, na watu wote wa nchi yake, kwa maana ulijua kwamba Wamisri walifanya kwa kujivunia. Lakini ulijifanyia jina ambalo linasimama hadi siku ya leo.

View File

@ -1 +1 @@
\v 11 Ukagawanya bahari mbele yao, wakavuka katikati ya bahari juu ya nchi kavu; na ukawatupa wale waliowa ndani ya kina, kama jiwe ndani ya maji ya kina.
\v 11 Ukagawanya bahari mbele yao, wakavuka katikati ya bahari juu ya nchi kavu; na ukawatupa wale waliokuwa ndani ya kina, kama jiwe ndani ya maji ya kina.

View File

@ -1 +1 @@
\v 12 Wewe uliwaongoza kwa nguzo ya wingu wakati wa mchana, na kwa nguzo ya moto wakati wa usiku, ili kuwamulikia njiani waweze kutembea katika nuru yake. \v 13 Ulishuka juu ya Mlima Sinai ukazungumza nao kutoka mbinguni ukawapa amri za haki na sheria za kweli, amri nzuri na maagizo.
\v 12 Wewe uliwaongoza kwa nguzo ya wingu wakati wa mchana, na kwa nguzo ya moto wakati wa usiku, ili kuwamulikia njiani waweze kutembea katika nuru yak. \v 13 Ulishuka juu ya Mlima Sinai ukazungumza nao kutoka mbinguni ukawapa amri za haki na sheria za kweli, amri nzuri na maagizo.

View File

@ -134,6 +134,12 @@
"08-13",
"08-16",
"08-18",
"09-title"
"09-title",
"09-01",
"09-03",
"09-05",
"09-07",
"09-09",
"09-11"
]
}