Sun Sep 11 2022 16:46:49 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-09-11 16:46:50 +03:00
parent 6c057cd58d
commit 4938887313
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 4 Ndipo mfalme akaniambia, "Unataka nini nifanye?" Kwa hiyo nikamwomba Mungu wa mbinguni. \v 5 Nikamwambia mfalme, "Mfalme akiona vema, na ikiwa mtumishi wako amefanya vizuri machoni pako, unaweza kunituma Yuda, mji wa kaburi za baba zangu, ili nipate kuujenga tena." \v 6 Mfalme akanijibu (na malkia pia alikuwa amekaa karibu naye), "Utakaa kawa muda gani mpaka urudi?" Mfalme akaona vema kunipeleka nami nikampka muda.
\v 4 Ndipo mfalme akaniambia, "Unataka nini nifanye?" Kwa hiyo nikamwomba Mungu wa mbinguni. \v 5 Nikamwambia mfalme, "Mfalme akiona vema, na ikiwa mtumishi wako amefanya vizuri machoni pako, unaweza kunituma niendeYuda, mji wa kaburi za baba zangu, ili nipate kuujenga tena." \v 6 Mfalme akanijibu (na malkia pia alikuwa amekaa karibu naye), "Utakaa kawa muda gani mpaka urudi?" Mfalme akaona vema kunipeleka nami nikampka muda.