diff --git a/05/14.txt b/05/14.txt index cef429d..1a103c8 100644 --- a/05/14.txt +++ b/05/14.txt @@ -1 +1 @@ -\v 14 Kwa hiyo tangu wakati niliowekwa kuwa mkuu wao katika nchi ya Yuda, tangu mwaka wa ishirini mpaka mwaka wa thelathini na pili wa mfalme Artashasta, miaka kumi na miwili, mimi na ndugu zangu hatukula chakula kilichotolewa kwa gavana. \v 15 Lakini wakuu wa zamani waliokuwa kabla yangu waliwaweka watu mizigo mizito, na wakachukua kwao shekeli arobaini za fedha kwa ajili ya chakula na divai yao ya kila siku. Hata watumishi wao waliwadhulumu watu. Lakini sikufanya hivyo kwa sababu ya hofu ya Mungu. \ No newline at end of file +\v 14 Kwa hiyo tangu wakati niliowekwa kuwa mkuu wao katika nchi ya Yuda, tangu mwaka wa ishirini mpaka mwaka wa thelathini na mbili wa mfalme Artashasta, miaka kumi na miwili, mimi na ndugu zangu hatukula chakula kilichotolewa kwa gavana. \v 15 Lakini wakuu wa zamani waliokuwa kabla yangu waliwawekea watu mizigo mizito, na wakachukua kwao shekeli arobaini za fedha kwa ajili ya chakula na divai yao ya kila siku. Hata watumishi wao waliwadhulumu watu. Lakini sikufanya hivyo kwa sababu ya hofu ya Mungu. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index b16edf6..89d6a10 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -85,6 +85,7 @@ "05-04", "05-06", "05-09", - "05-12" + "05-12", + "05-14" ] } \ No newline at end of file