diff --git a/09/16.txt b/09/16.txt index 5586bb9..7a26932 100644 --- a/09/16.txt +++ b/09/16.txt @@ -1 +1 @@ -\v 16 Lakini wao na baba zetu walifanya uasi, nao walikuwa wakaidi, wala hawakuzitii amri zako. \v 17 Walikataa kusikiliza, na hawakufikiri juu ya maajabu uliyofanya kati yao, lakini wakawa wakaidi, na katika uasi wao waliweka kiongozi ili wairudie hali ya utumwa. Lakini wewe ni Mungu ambaye amejaa msamaha, mwenye rehema na huruma, si mwepesi wa hasira, na wingi katika upendo thabiti. Wewe haukuwaacha. \ No newline at end of file +\v 16 Lakini wao na baba zetu walifanya uasi, nao walikuwa wakaidi, wala hawakuzitii amri zako. \v 17 Walikataa kusikiliza, na hawakufikiri juu ya maajabu uliyofanya kati yao, lakini wakawa wakaidi, na katika uasi wao waliweka kiongozi ili wairudie hali ya utumwa. Lakini wewe ni Mungu ambaye umejaa msamaha, mwenye rehema na huruma, si mwepesi wa hasira, na wingi katika upendo thabiti. Wewe hukuwaacha. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 639f8ed..45dd98d 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -142,6 +142,13 @@ "09-09", "09-11", "09-12", - "09-14" + "09-14", + "09-16", + "09-18", + "09-20", + "09-22", + "09-23", + "09-25", + "09-26" ] } \ No newline at end of file