Sun Sep 11 2022 17:46:49 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-09-11 17:46:50 +03:00
parent f9742e62e3
commit 0b3550a83c
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 8 Kisha nikamtuma neno nikisema, "mambo kama hayo hayajafanyika kama unavyosema, kwa maana ndani ya moyo wako umeyabuni." \v 9 Kwa maana wote walitaka kututisha, wakifikiri, "Wataacha mikono yao kufanya kazi hiyo, na haitafanyika." Lakini sasa, Mungu, tafadhali imarisha mikono yangu.
\v 8 Kisha nikamtumia neno nikisema, "mambo kama hayo hayajafanyika kama unavyosema, kwa maana ndani ya moyo wako umeyabuni." \v 9 Kwa maana wote walitaka kututisha, wakifikiri, "Wataacha mikono yao kufanya kazi hiyo, na haitafanyika." Lakini sasa, Mungu, tafadhali imarisha mikono yangu.