sw_neh_text_reg/06/15.txt

1 line
295 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 15 Kwa hiyo ukuta ukamalizika siku ya ishirini na tano ya mwezi wa Sita, baada ya siku hamsini na mbili. \v 16 Adui zetu wote waliposikia hayo, mataifa yote yaliyotuzunguka, waliogopa na wakakata tamaa sana machoni pao wenyewe. Kwa maana walijua kazi hiyo ilifanyika kwa msaada wa Mungu wetu.