sw_nam_text_reg/02/13.txt

1 line
251 B
Plaintext

\v 13 "Tazama, mimi nipo kinyume na wewe- hili ni neno la Yehova wa majeshi. Nitayachoma magari yenu ya vita katika moshi, na upanga utameza wana-simba wenu . Nitakatilia nyara zenu kutoka kwenye nchi yenu, na sauti za wajumbe wenu hazitasikika tena."