sw_nam_text_reg/03/18.txt

1 line
368 B
Plaintext

\v 18 Mfalme wa Ashuru, wachungaji wako wamelala; watawala wako wamejilaza chini kupumzika. Watu wako wametawanyika juu ya milima, na hakuna hata mmoja wa kuwakusanya. \v 19 Hakuna uponyaji unaowezekana kwa ajili ya vidonda vyako. Vidonda vyako ni vikubwa. Kila anayesikia habari zako atapiga makofi kwa furaha juu yako. Ni nani ambaye hajaguswa na uovu wako wa daima?