sw_nam_text_reg/03/16.txt

1 line
355 B
Plaintext

\v 16 Umezidisha wafanyabiashara wako zaidi kuliko nyota mbinguni; lakini wapo kama nzige wachanga;wanapora nchi na kisha kuruka kwenda zake. \v 17 Wafalme wenu wapo kama kundi la nzige, na wakuu wenu wa majeshi ni kama nzige watuao kwenye ukuta wakati wa siku ya baridi. Lakini jua linapowaka wanaruka kwenda zao; na mahali waendapo hakuna anayepajua.