sw_nam_text_reg/03/12.txt

1 line
258 B
Plaintext

\v 12 Ngome zako zote zitakuwa kama mitini yenye tini zilizoiva mapema: kama zikitikiswa, zitaangukia ndani ya kinywa cha mlaji. \v 13 Tazama, watu miongoni mwenu ni wanawake; malango ya nchi yako yamefunguliwa wazi kwa adui zako; moto umeharibu bawaba zake.