sw_nam_text_reg/03/10.txt

1 line
322 B
Plaintext

\v 10 Lakini No-amoni alichukuliwa; alikwenda kwenye mateka; watoto wake wadogo walivunjwa vipande vipande katika kila makao makuu ya mtaa; adui zake walipiga kura kwa watu wake wenye heshima, na wakuu wake wote walifungwa minyororo. \v 11 Wewe pia utalewa; utajaribu kujificha, na utatafuta kimbilio kutoka kwa adui yako.