|
\v 8 Ninawi, je wewe ni bora kuliko No-amoni, uliojengwa juu ya Mto Naili, uliokuwa umezungukwa na maji, ambao ulinzi wake ilikuwa bahari, na bahari ilikuwa ukuta wake? \v 9 Ethiopia na Misri walikuwa nguvu zake, na mwisho wake haukuwepo; Putu na Libya walikuwa rafiki zake. |