sw_nam_text_reg/03/05.txt

1 line
475 B
Plaintext

\v 5 " Tazama, mimi nipo kinyume na wewe --- hili ni neno la Yehova wa majeshi-- sketi yako nitaiinua juu ya uso wako na kuzionyesha sehemu zako za siri kwa mataifa, aibu yako kwa falme. \v 6 Nitarusha uchafu wa kuchukiza kwako na kukufanya uwe mbaya sana; nitakufanya uwe mtu wa kutazamwa na kila mmoja. \v 7 Itakuwa kwamba kila mmoja anayekutazama atakukimbia na kusema, 'Ninawi ameharibika; ni nani ataomboleza kwa ajili yake?' Ni wapi nitampata mtu anayeweza kukufariji?"