sw_nam_text_reg/03/03.txt

1 line
334 B
Plaintext

\v 3 Wapanda farasi wanashambulia,panga zinameremeta na mikuki inang'aa, marundo ya maiti, idadi kubwa ya miili isiyohesabika-washambuliaji wanajikwaa juu yake. \v 4 Hii inatokea kwa sababu ya matendo ya tamaa ya kahaba mrembo, mtaalam wa uchawi, mwenye kuuza mataifa kupitia kwa ukahaba wake, na watu kupitia matendo yake ya kichawi.