sw_nam_text_reg/03/01.txt

1 line
232 B
Plaintext

\c 3 \v 1 Ole kwa mji uliojaa damu! Wote umejaa uongo na mali za wizi; waadhiriwa wapo kwake daima. \v 2 Lakini sasa kuna kelele za mijeledi na sauti za magurudumu yanayozunguka, farasi wanaokimbia, na magari ya vita yanao rukaruka.