Thu Dec 29 2022 20:08:54 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
09776afa87
commit
f6d167c96e
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 16 Umezidisha wafanyabiashara wako zaidi kuliko nyota mbinguni; lakini wapo kama nzige wachanga;wanapora nchi na kisha kuruka kwenda zake. \v 17 Wafalme wenu wapo wengi kama zinge, na wakuu wenu wa majeshi ni kama kundi la wadudu wenye kuweka kambi katika ukuta wakati wa baridi. Lakini jua linapowaka wanaruka kwenda; mbali ambako hakuna anayepajua.
|
||||
\v 16 Umezidisha wafanyabiashara wako zaidi kuliko nyota mbinguni; lakini wapo kama nzige wachanga;wanapora nchi na kisha kuruka kwenda zake. \v 17 Wafalme wenu wapo kama kundi la nzige, na wakuu wenu wa majeshi ni kama kundi la wadudu wenye kuweka kambi katika ukuta wakati wa baridi. Lakini jua linapowaka wanaruka kwenda; mbali ambako hakuna anayepajua.
|
Loading…
Reference in New Issue