commit e6bbac6ff20826b6a3efbfae64486b40c9358cdf Author: nicholuskombo Date: Sat Jul 30 11:22:26 2022 +0300 Sat Jul 30 2022 11:22:25 GMT+0300 (East Africa Time) diff --git a/01/01.txt b/01/01.txt new file mode 100644 index 0000000..a5ce3f8 --- /dev/null +++ b/01/01.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 1 Maono kuhusu Ninawi. Kitabu cha maono ya Nahumu, Mwelkoshi. \ No newline at end of file diff --git a/01/02.txt b/01/02.txt new file mode 100644 index 0000000..81f4369 --- /dev/null +++ b/01/02.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 2 Yehova ni Mungu mwenye wivu na analipa kisasi; Yehova hulipa kisasi na amejaa ghadhabu; Yohova analipiza kisasi kwa adui zake, na huiendeleza hasira yake kwa adui zake. \v 3 Yehova ni mwenye nguvu nyingi na mpole wa hasira; hatakuwa na namna ya kuacha kuwahesabia hatia adui zake. Yehova hufanya njia yake kwenye upepo wa kisulisuli na dhoruba, na mawingu ni mavumbi ya miguu yake. \ No newline at end of file diff --git a/01/04.txt b/01/04.txt new file mode 100644 index 0000000..6388226 --- /dev/null +++ b/01/04.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 4 Huikemea bahari na kuifanya ikauke; hukausha mito yote. Bashani ni dhaifu, na Karmeli pia; maua ya Lebanoni ni dhaifu. \v 5 Milima hutetema kwenye uwepo wake, na vilima huyeyuka; dunia huanguka mbele zake, kabisa, dunia na watu wote wanaoishi ndani yake. \ No newline at end of file diff --git a/01/06.txt b/01/06.txt new file mode 100644 index 0000000..82a0b96 --- /dev/null +++ b/01/06.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 6 Ni nani anaweza kusimama mbele ya ghadhabu yake? Nani anaweza kuzuia ukali wa hasira yake? Ghadhabu yake imemwagwa kama moto, na miamba ameibomoa mbalimbali. \ No newline at end of file diff --git a/01/07.txt b/01/07.txt new file mode 100644 index 0000000..4a1d569 --- /dev/null +++ b/01/07.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 7 Yehova ni mwema, boma katika siku ya taabu; na yeye ni mwaminifu kwa wale wanaomkimbilia. \v 8 Lakini atafanya mwisho wa adui zake kwa mafuriko ya kutisha; atawawinda kwenye giza. \ No newline at end of file diff --git a/01/09.txt b/01/09.txt new file mode 100644 index 0000000..c3c544c --- /dev/null +++ b/01/09.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 9 Watu wanapanga nini dhidi ya Yehova? Yeye atakomesha; taabu haitainuka mara ya pili. \v 10 Maana watakuwa wamevurugika kama michongoma; wataloweshwa katika kinywaji chao mwenyewe; wataharibiwa kabisa kwa moto kama mashina ya mabua. \v 11 Mtu mmoja aliinuka miongoni mwenu, Ninawi, aliyepanga ubaya dhidi ya Yehova, mtu ambaye aliimarisha uovu. \ No newline at end of file diff --git a/01/12.txt b/01/12.txt new file mode 100644 index 0000000..1729c6a --- /dev/null +++ b/01/12.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 12 Hivi ndivyo anavyosema Yehova, "Hata kama wananguvu zao timilifu na idadi timilifu, hata hivyo watanyolewa, watu wao hawatakuwepo tena. Bali wewe, Yuda: Ingawa nimekutesa, sitakutesa tena. \v 13 Sasa nitaivunja ile nira ya watu kutoka kwako; nitaikata minyororo yako. \ No newline at end of file diff --git a/01/14.txt b/01/14.txt new file mode 100644 index 0000000..5fd22b9 --- /dev/null +++ b/01/14.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 14 Yehova ametoa amri juu yako, Ninawi: " Hakutakuwa na kizazi tena chenye kubeba jina lako. Nitazizuia sanamu zilizochongwa na kuziondoa sanamu za chuma kutoka kwenye nyumba za miungu yenu. Nitachimba makaburi yenu, kwa kudharauliwa kwenu." \ No newline at end of file diff --git a/01/15.txt b/01/15.txt new file mode 100644 index 0000000..81c4408 --- /dev/null +++ b/01/15.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 15 Tazama, juu ya milima kuna miguu ya mtu aletaye habari njema, anayetangaza amani! Sherehekeeni sikukuu zenu, Yuda, na tunzeni nadhiri zenu, kwa maana mwovu hatawavamia tena; ameondolewa kabisa. \ No newline at end of file diff --git a/02/01.txt b/02/01.txt new file mode 100644 index 0000000..1fc96e2 --- /dev/null +++ b/02/01.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 1 Yule ambaye atakuharibu vipande vipande anakuja dhidi yako. Linda kuta za mji, linda barabara, jitieni nguvu ninyi wenyewe, yakusanyeni majeshi yenu. \v 2 Maana Yehova anarejesha fahari ya Yakobo, kama fahari ya Israeli, ingawa wateka nyara waliwaharibu na kuharibu matawi ya zabibu zao. \ No newline at end of file diff --git a/02/03.txt b/02/03.txt new file mode 100644 index 0000000..eac3d17 --- /dev/null +++ b/02/03.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 3 Ngao za mashujaa wake ni nyekundu, na watu hodari wamevaa nguo nyekundu; magari ya vita yameandaliwa yanang'ara kwenye vyuma vyake wakati wa mchana, na mikuki ya mivinje inarushwa hewani. \v 4 Magari ya vita yapo kasi kwenye mitaa; yanakimbia mbele na nyuma katika mitaa. Yapo kama kurunzi, na yanakimbia kama radi. \ No newline at end of file diff --git a/02/05.txt b/02/05.txt new file mode 100644 index 0000000..b376db3 --- /dev/null +++ b/02/05.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 5 Yule ambaye atakuvunja vipande vipande anawaita maafisa wake; wanajikwaa kila mmoja kwa mwingine katika kutembea kwao; wanaharakisha kuushambulia ukuta wa mji. Ngao kubwa imetayarishwa kujikinga na hawa washambuliaji. \ No newline at end of file diff --git a/02/06.txt b/02/06.txt new file mode 100644 index 0000000..c7cc806 --- /dev/null +++ b/02/06.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 6 Malango kwenye mito yamelazishwa kufunguka, na jumba la mfalme linaanguka kwenye uharibifu. \v 7 Husabu amevuliwa mavazi yake na amachukuliwa; watumishi wake wa kike wanaomboleza kama njiwa, wanavipiga vifua vyao. \ No newline at end of file diff --git a/02/08.txt b/02/08.txt new file mode 100644 index 0000000..72fb27d --- /dev/null +++ b/02/08.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 8 Ninawi ni kama bwawa la maji linalovuja, watu wake kwa pamoja wanakimbia kama maji yanayotiririka. Wengine wanasema, " Simama, simama," lakini hakuna anayegeuka nyuma. \v 9 Chukua nyara ya fedha, kuchua nyara ya dhahabu, maana hakuna mwisho wake, kwa fahari ya vitu vyote vizuri vya Ninawi. \v 10 Ninawi ipo tupu na imeharibiwa. Moyo wa kila mtu unayeyuka, magoti ya kila mmoja yanagongana pamoja, na uchungu upo kwa kila mmoja; sura zao wote zimepauka. \ No newline at end of file diff --git a/02/11.txt b/02/11.txt new file mode 100644 index 0000000..ca15690 --- /dev/null +++ b/02/11.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 11 Sasa liko wapi pango la simba, sehemu ambapo simba wadogo hula chakula, sehemu ambapo simba dume na simba jike walitembea, pamoja wana-simba, ambapo hawakuogopa kitu chochote? \v 12 Simba alirarua mawindo yake vipande vipande kwa ajili ya watoto wake; aliwanyonga mawindo wake kwa ajili ya wake zake, na kulijaza pango lake mawindo, makao yake kwa mizoga iliyoraruliwa. \ No newline at end of file diff --git a/02/13.txt b/02/13.txt new file mode 100644 index 0000000..44e635c --- /dev/null +++ b/02/13.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 13 "Tazama, mimi nipo kinyume na wewe- hili ni neno la Yehova wa majeshi. Nitayachoma magari yenu ya vita katika moshi, na upanga utateketeza simba wenu vijana. Nitazuia nyara zenu kutoka kwenye nchi yangu, na sauti za wajumbe wenu hazitasikika tena." \ No newline at end of file diff --git a/03/01.txt b/03/01.txt new file mode 100644 index 0000000..7b69b2a --- /dev/null +++ b/03/01.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 1 Ole kwa mji uliojaa damu! Wote umejaa uongo na mali za wizi; wahanga wapo kwake daima. \v 2 Lakini sasa kunasauti ya mijeledi na sauti za kugongesha matairi, farasi wakicheza, na magari ya vita yanaruka ruka. \ No newline at end of file diff --git a/03/03.txt b/03/03.txt new file mode 100644 index 0000000..2361537 --- /dev/null +++ b/03/03.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 3 Kuna wapanda farasi wanashambulia, Upanga unang'ara, mikuki inametameta, marundo ya maiti, mafungu makubwa ya miili; hakuna ukomo wa miili, washambuliaji wanajikwaa juu yake. \v 4 Hii inatokea kwa sababu ya matendo ya tamaa ya kahaba mzuri, mzoefu wa uchawi, mwenye kuuza taifa kwa umalaya wake, na watu kwa njia ya matendo yake ya kichawi. \ No newline at end of file diff --git a/03/05.txt b/03/05.txt new file mode 100644 index 0000000..f3e142c --- /dev/null +++ b/03/05.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 5 " Tazama, mimi nipo kinyume na wewe- hili ni neno la Yehova wa majeshi- sketi yako nitaiinua juu ya uso wako na kuzionyesha sehemu zako za siri kwa mataifa, aibu yako kwa falme. \v 6 Nitarusha uchafu wa kuchukiza na kukufanya uwe mbaya sana; nitakufanya uwe mtu wa kutazamwa na kila mmoja. \v 7 Itakuwa kwamba kila mmoja anayekutazama atakukimbia na kusema, " Ninawi ameharibika; ni nani ataomboleza kwa ajili yake?' Ni wapi nitampata mtu anayeweza kukufariji?" \ No newline at end of file diff --git a/03/08.txt b/03/08.txt new file mode 100644 index 0000000..f9d8a6a --- /dev/null +++ b/03/08.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 8 Ninawi, je wewe ni bora kuliko Noamoni, uliojengwa juu ya Mto Naili, uliokuwa umezungukwa na maji, ambao ulinzi wake ilikuwa bahari, ambao ukuta wake ilikuwa bahari yenyewe? \v 9 Ethiopia na Misri zilikuwa nguvu zake, na mwisho wake haukuwepo; Putu na Libya walikuwa rafiki zake. \ No newline at end of file diff --git a/03/10.txt b/03/10.txt new file mode 100644 index 0000000..29e6077 --- /dev/null +++ b/03/10.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 10 Lakini Noamoni alichukuliwa; alikwenda kwenye mateka; watoto wake wadogo walivunjwa vipande vipande katika kila makao makuu ya mtaa; adui zake walipiga kura kwa watu wake wenye heshima na wakuu wake wote walifungwa minyororo. \v 11 Wewe pia utalewa; utajaribu kujificha, na utatafuta makimbilio kutoka kwa adui yako. \ No newline at end of file diff --git a/03/12.txt b/03/12.txt new file mode 100644 index 0000000..7103049 --- /dev/null +++ b/03/12.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 12 Ngome zako zote zitakuwa kama mitini yenye tini zilizoiva mapema: kama zikitikiswa, zitaangukia kwenye kimywa cha mlaji. \v 13 Tazama, watu miongoni mwenu ni wanawake; malango ya nchi yako yamefunguliwa sana kwa ajili ya adui zako; moto umeharibu bawaba zake. \ No newline at end of file diff --git a/03/14.txt b/03/14.txt new file mode 100644 index 0000000..e715482 --- /dev/null +++ b/03/14.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 14 Nenda ukachote maji kwenye boma iliyozingirwa; ziimarishe ngome zako; nenda kwenye udongo na kandamiza matope; finyanga kwa ajili ya matofali. \v 15 Moto utakuteketeza pale, na upanga utakuangamiza. Utateketezwa kama nzige wachanga wanavyoteketeza kila kitu. Ninyi wenyewe mjitengeneze kuwa wengi kama nzige wachanga, na wengi kama nzinge waliopevuka. \ No newline at end of file diff --git a/03/16.txt b/03/16.txt new file mode 100644 index 0000000..2da6bcf --- /dev/null +++ b/03/16.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 16 Umezidisha wafanyabiashara wako zaidi kuliko nyota mbinguni; lakini wapo kama tunutu: wanapora nchi na kisha kuruka kwenda mbali. \v 17 Wafalme wenu wapo wengi kama zinge, na wakuu wenu wa majeshi ni kama kundi la wadudu wenye kuweka kambi katika ukuta wakati wa baridi. Lakini jua linapowaka wanaruka kwenda mbali ambako hakuna anayepajua. \ No newline at end of file diff --git a/03/18.txt b/03/18.txt new file mode 100644 index 0000000..89f5a33 --- /dev/null +++ b/03/18.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 18 Mfalme wa Ashuru, wachungaji wako wamelala; watawala wako wamejilaza chini kupumzika. Watu wako wametawanyika juu ya milima, na hakuna hata mmoja wa kuwakusanya. \v 19 Hakuna uponyaji unaowezekana kwa ajili ya vidonda vyako. Vidonda vyako ni vikubwa. Wanaosikia habari juu yako watapiga makofi kwa furaha juu yako. Ni nani aliyejiepusha kwa uovu wako wa daima? \ No newline at end of file diff --git a/LICENSE.md b/LICENSE.md new file mode 100644 index 0000000..d31d4f9 --- /dev/null +++ b/LICENSE.md @@ -0,0 +1,39 @@ + +## Creative Commons Attribution-ShareAlike 4.0 International + +### Human-Readable Summary + + +The Creative Commons Attribution-Share Alike 4.0 International License is available at +http://creativecommons.org/licenses/by-sa/4.0/. + +#### This is a human-readable summary of (and not a substitute for) the License. + + +### You are free to: + + +* **Share** — copy and redistribute the material in any medium or format. + +* **Adapt** — remix, transform, and build upon the material for any purpose, even commercially. + + The licensor cannot revoke these freedoms as long as you follow the license terms. + +### Under the following terms: + +* **Attribution** —You must give appropriate credit, provide a link to the license, and indicate if changes were made. You may do so in any reasonable manner, but not in any way that suggests the licensor endorses you or your use. + +* **ShareAlike** — If you remix, transform, or build upon the material, you must distribute your contributions under the same license as the original. + +* **No additional restrictions** — You may not apply legal terms or technological measures that legally restrict others from doing anything the license permits. + + +### Notices: + +* You do not have to comply with the license for elements of the material in the public domain or where your use is permitted by an applicable exception or limitation. + +* No warranties are given. The license may not give you all of the permissions necessary for your intended use. For example, other rights such as publicity, privacy, or moral rights may limit how you use the material. + + + +This PDF was generated using Prince (https://www.princexml.com/). \ No newline at end of file diff --git a/front/title.txt b/front/title.txt new file mode 100644 index 0000000..2230685 --- /dev/null +++ b/front/title.txt @@ -0,0 +1 @@ +Nahumu \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json new file mode 100644 index 0000000..3878a3c --- /dev/null +++ b/manifest.json @@ -0,0 +1,29 @@ +{ + "package_version": 6, + "format": "usfm", + "generator": { + "name": "ts-desktop", + "build": "27" + }, + "target_language": { + "id": "sw", + "name": "Kiswahili", + "direction": "ltr" + }, + "project": { + "id": "nam", + "name": "Nahum" + }, + "type": { + "id": "text", + "name": "Text" + }, + "resource": { + "id": "reg", + "name": "Regular" + }, + "source_translations": [], + "parent_draft": {}, + "translators": [], + "finished_chunks": [] +} \ No newline at end of file