Tue Nov 29 2022 15:41:29 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-11-29 15:41:29 +03:00
parent 380d3f97f7
commit b812f4a868
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 5 " Tazama, mimi nipo kinyume na wewe --- hili ni neno la Yehova wa majeshi-- sketi yako nitaiinua juu ya uso wako na kuzionyesha sehemu zako za siri kwa mataifa, aibu yako kwa falme. \v 6 Nitarusha uchafu wa kuchukiza na kukufanya uwe mbaya sana; nitakufanya uwe mtu wa kutazamwa na kila mmoja. \v 7 Itakuwa kwamba kila mmoja anayekutazama atakukimbia na kusema, " Ninawi ameharibika; ni nani ataomboleza kwa ajili yake?' Ni wapi nitampata mtu anayeweza kukufariji?"
\v 5 " Tazama, mimi nipo kinyume na wewe --- hili ni neno la Yehova wa majeshi-- sketi yako nitaiinua juu ya uso wako na kuzionyesha sehemu zako za siri kwa mataifa, aibu yako kwa falme. \v 6 Nitarusha uchafu wa kuchukiza kwako na kukufanya uwe mbaya sana; nitakufanya uwe mtu wa kutazamwa na kila mmoja. \v 7 Itakuwa kwamba kila mmoja anayekutazama atakukimbia na kusema, " Ninawi ameharibika; ni nani ataomboleza kwa ajili yake?' Ni wapi nitampata mtu anayeweza kukufariji?"