Thu Dec 29 2022 20:16:54 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
db73e5c20d
commit
8024253e61
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 16 Umezidisha wafanyabiashara wako zaidi kuliko nyota mbinguni; lakini wapo kama nzige wachanga;wanapora nchi na kisha kuruka kwenda zake. \v 17 Wafalme wenu wapo kama kundi la nzige, na wakuu wenu wa majeshi ni kama nzige wenye kupiga kambi katika ukuta wakati wa baridi. Lakini jua linapowaka wanaruka kwenda; mbali ambako hakuna anayepajua.
|
||||
\v 16 Umezidisha wafanyabiashara wako zaidi kuliko nyota mbinguni; lakini wapo kama nzige wachanga;wanapora nchi na kisha kuruka kwenda zake. \v 17 Wafalme wenu wapo kama kundi la nzige, na wakuu wenu wa majeshi ni kama nzige watuao kwenye ukuta wakati wa baridi. Lakini jua linapowaka wanaruka kwenda; mbali ambako hakuna anayepajua.
|
Loading…
Reference in New Issue