diff --git a/03/01.txt b/03/01.txt index 89569bb..09f046b 100644 --- a/03/01.txt +++ b/03/01.txt @@ -1 +1 @@ -\c 3 \v 1 Ole kwa mji uliojaa damu! Wote umejaa uongo na mali za wizi; waadhiriwa wapo kwake daima. \v 2 Lakini sasa kuna sauti ya mijeledi na sauti za magurudumu ya, farasi wakicheza, na magari ya vita yanaruka ruka. \ No newline at end of file +\c 3 \v 1 Ole kwa mji uliojaa damu! Wote umejaa uongo na mali za wizi; waadhiriwa wapo kwake daima. \v 2 Lakini sasa kuna kelele za mijeledi na sauti za magurudumu yanayozunguka, farasi wakicheza, na magari ya vita yanaruka ruka. \ No newline at end of file