Tue Nov 29 2022 15:59:29 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-11-29 15:59:29 +03:00
parent 2a6e4d76e4
commit 428b657db3
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 12 Ngome zako zote zitakuwa kama mitini yenye tini zilizoiva mapema: kama zikitikiswa, zitaangukia kwenye kimywa cha mlaji. \v 13 Tazama, watu miongoni mwenu ni wanawake; malango ya nchi yako yamefunguliwa sana kwa ajili ya adui zako; moto umeharibu bawaba zake.
\v 12 Ngome zako zote zitakuwa kama mitini yenye tini zilizoiva mapema: kama zikitikiswa, zitaangukia ndani ya kinywa cha mlaji. \v 13 Tazama, watu miongoni mwenu ni wanawake; malango ya nchi yako yamefunguliwa kwa ajili ya adui zako; moto umeharibu bawaba zake.