Wed Oct 26 2022 15:23:24 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-26 15:23:24 +03:00
parent 85744aaa3f
commit 312c2afb43
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 8 Ninawi ni kama bwawa la maji linalovuja, na watu wake wanakimbia kama maji yanayotiririka. Wengine wanasema, " Simama, simama," lakini hakuna anayegeuka nyuma. \v 9 Chukua nyara ya fedha, kuchua nyara ya dhahabu, maana hakuna mwisho wake, kwa fahari ya vitu vyote vizuri vya Ninawi. \v 10 Ninawi ipo tupu na imeharibiwa. Moyo wa kila mtu unayeyuka, magoti ya kila mmoja yanagongana pamoja, na uchungu upo kwa kila mmoja; sura zao wote zimepauka.
\v 8 Ninawi ni kama bwawa la maji linalovuja, huku watu wake wakikimbia kama maji yanayotiririka. Wengine wanasema, " Simama, simama," lakini hakuna anayegeuka nyuma. \v 9 Chukua nyara ya fedha, kuchua nyara ya dhahabu, maana hakuna mwisho wake, kwa fahari ya vitu vyote vizuri vya Ninawi. \v 10 Ninawi ipo tupu na imeharibiwa. Moyo wa kila mtu unayeyuka, magoti ya kila mmoja yanagongana pamoja, na uchungu upo kwa kila mmoja; sura zao wote zimepauka.