Thu Dec 29 2022 20:18:54 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-12-29 20:18:55 +03:00
parent 8024253e61
commit 07fdb1691f
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 16 Umezidisha wafanyabiashara wako zaidi kuliko nyota mbinguni; lakini wapo kama nzige wachanga;wanapora nchi na kisha kuruka kwenda zake. \v 17 Wafalme wenu wapo kama kundi la nzige, na wakuu wenu wa majeshi ni kama nzige watuao kwenye ukuta wakati wa baridi. Lakini jua linapowaka wanaruka kwenda; mbali ambako hakuna anayepajua.
\v 16 Umezidisha wafanyabiashara wako zaidi kuliko nyota mbinguni; lakini wapo kama nzige wachanga;wanapora nchi na kisha kuruka kwenda zake. \v 17 Wafalme wenu wapo kama kundi la nzige, na wakuu wenu wa majeshi ni kama nzige watuao kwenye ukuta wakati wa siku ya baridi. Lakini jua linapowaka wanaruka kwenda zao; mbali ambako hakuna anayepajua.