sw_mrk_text_ulb/09/47.txt

1 line
218 B
Plaintext

\v 47 Kama jicho lako likikukosesha ling'oe. Ni vyema kwako kuingia katika Ufalme wa Mungu ukiwa na jicho moja, kuliko kuwa na macho mawili na kutupwa kuzimu. \v 48 Mahali palipo na funza wasiokufa, na moto usiozimika.