sw_mrk_text_ulb/09/23.txt

1 line
323 B
Plaintext

\v 23 Yesu alimwambia, "Kama uko tayari? Kila kitu kinawezekana kwa yeyote aaminiye." \v 24 Ghafla baba wa mtoto alilia na kusema, " Naamini! Nisaidie kutokuamini kwangu." \v 25 Wakati Yesu alipoona kundi linakimbilia kwao, alimkemea roho mchafu na kusema, "wewe roho bubu na kiziwi, nakuamuru mwache, usiingie kwake tena."