sw_mrk_text_ulb/09/17.txt

1 line
405 B
Plaintext

\v 17 Mmoja wao katika kundi alimjibu, "Mwalimu, nilimleta mwanangu kwako; ana roho chafu ambayo humfanya asiweze kuongea, \v 18 na humsababishia kutetemeka na kumwangusha chini, na kutoka povu mdomoni na kusaga meno na kukakamaa. Niliwaomba wanafunzi wako kumtoa pepo, lakini hawakuweza. \v 19 Aliwajibu, "Kizazi kisichoamini, nitakaa nanyi kwa muda gani? Nitachukuliana nanyi hadi lini? Mleteni kwangu."