sw_mrk_text_ulb/08/05.txt

1 line
228 B
Plaintext

\v 5 Akawauliza, "mna vipande vingapi vya mikate?" Wakasema, "Saba". \v 6 Aliuamuru umati ukae chini. Akachukua mikate saba, akamshukuru Mungu, na kuivunja. Akawapa wanafunzi wake waiweke mbele yao, nao wakaiweka mbele ya umati.