sw_mrk_text_ulb/06/35.txt

1 line
218 B
Plaintext

\v 35 Muda uliendelea sana ilikuwa ni jioni, wanafunzi wakamjia wakamwambia,"Hapa ni mahali hakuna makazi ya watu, na muda umeendelea sana. \v 36 Uwaage watu waende miji ya jirani na vijiji ili wakajinunulie chakula."