sw_mrk_text_ulb/16/14.txt

1 line
430 B
Plaintext

\v 14 (Zingatia: Nakala za kale hazina Marko 16: 9-20) Yesu baadaye akajitokeza kwa wale kumi na mmoja walipokuwa wameegama katika meza, na akawakemea kwa kutokuamini kwao na ugumu wa mioyo, kwa sababu hawakuwaamini wale waliomwona baada ya kufufuka kutoka kwa wafu. \v 15 Akawaambia, " Enendeni ulimwenguni mwote, na kuhubiri injili kwa viumbe vyote. \v 16 Yeyote aaminiye na kubatizwa ataokolewa, na yule asiyeamini atahukumiwa.