sw_mrk_text_ulb/16/12.txt

1 line
255 B
Plaintext

\v 12 (Zingatia: Nakala za kale hazina Marko 16: 9-20) Baada ya hayo, akajitokeza katika namna tofauti kwa watu wengine wawili, wakati walipokuwa wakitembea kutoka katika nchi. \v 13 Walienda na kuwaambia wanafunzi wengine waliobaki, lakini hawakuwaamini.