sw_mrk_text_ulb/16/09.txt

1 line
372 B
Plaintext

\v 9 (Zingatia: Nakala za kale hazina Marko 16: 9-20) Mapema katika siku ya kwanza ya juma, baada ya kufufuka, alimtokea kwanza Mariamu Magdalena, ambaye kutoka kwake alimtoa mapepo saba. \v 10 Aliondoka na kuwaambia wale ambao walikuwa pamoja naye, wakati walipokuwa wakihuzunika na kutoa machozi. \v 11 Walisikia kwamba ni mzima na ameonekana naye, lakini hawakumwamini.