sw_mrk_text_ulb/16/03.txt

1 line
194 B
Plaintext

\v 3 Wakisemezana wao kwa wao, "Nani ataliviringisha jiwe kwa ajili yetu ili tuingie kaburini?" \v 4 Wakati walipotazama, walimuona mtu amekwisha kulivingirisha jiwe, ambalo lilikuwa kubwa sana.