sw_mrk_text_ulb/15/33.txt

1 line
305 B
Plaintext

\v 33 Ilipofika saa sita, giza likaja juu ya nchi yote hadi saa tisa. \v 34 Wakati wa saa tisa, Yesu alipiga kelele kwa sauti kubwa, "Eloi, Eloi, lama sabaktani?" ikiwa na maana "Mungu wangu, Mungu wangu, kwa nini umeniacha?" \v 35 Baadhi ya hao waliosimama waliposikia wakasema, "Tazama, anamwita Eliya."