sw_mrk_text_ulb/15/31.txt

1 line
298 B
Plaintext

\v 31 Kwa namna ile ile wakuu wa makuhani walimdhihaki wakisemezana, pamoja na waandishi na kusema, "Aliwaokoa wengine, lakini hawezi kujiokoa mwenyewe. \v 32 Kristo Mfalme wa Israel, shuka chini sasa toka msalabani, ili tuweze kuona na kuamini." Na wale waliosulubiwa pamoja naye pia walimdhihaki.