sw_mrk_text_ulb/15/29.txt

1 line
188 B
Plaintext

\v 29 Nao waliokuwa wakipita walimtukana, wakitikisa vichwa vyao wakisema, "Aha! wewe utakayevunja hekalu na kulijenga kwa siku tatu, \v 30 jiokoe mwenyewe na ushuke chini toka msalabani!"