sw_mrk_text_ulb/15/22.txt

1 line
281 B
Plaintext

\v 22 Askari wakampeleka Yesu mahali paitwapo Goligotha (maana ya tafsiri hii ni, Sehemu ya Fuvu la kichwa). \v 23 Wakampa mvinyo iliyochanganywa na manemane, lakini hakunywa. \v 24 Wakamsulibisha na wakagawana mavazi yake, wakayapigia kura kuamua kipande atakachopata kila askari.