sw_mrk_text_ulb/15/16.txt

1 line
265 B
Plaintext

\v 16 Askari walimwongoza hadi ndani ya ua (ule ulio ndani ya kambi) na walikusanyika pamoja kikosi cha askari. \v 17 Wakamvika Yesu kanzu ya rangi ya zambarau, na wakasokota taji ya miiba wakamvika. \v 18 Wakaanza kumdhihaki na kusema, "Salam, Mfalme wa Wayahudi!"