\v 14 Pilato akasema, "Amefanya jambo gani baya?" Lakini wakazidi kupiga kelele zaidi na zaidi "Msulibishe." \v 15 Pilato akitaka kuwaridhisha umati, akawafungulia Baraba. Akampiga Yesu mijeledi kisha akamtoa ili asulibiwe.