\v 12 Pilato akawajibu tena na kusema, "Nimfanye nini Mfalme wa Wayahudi? \v 13 Wakapiga kelele tena, "Msulibishe!"