sw_mrk_text_ulb/15/06.txt

1 line
295 B
Plaintext

\v 6 Kwa kawaida wakati wa sikukuu humfungulia mfungwa mmoja, mfungwa waliyemwomba. \v 7 Kulikuwapo wahalifu gerezani, miongoni mwa wauaji kati ya walioasi wanaotumikia makosa yao. Alikuwepo mtu mmoja aitwaye Baraba. \v 8 Umati ulikuja kwa Pilato, na kumwomba afanye kama alivyofanya huko nyuma.