sw_mrk_text_ulb/15/01.txt

1 line
300 B
Plaintext

\v 1 Asubuhi na mapema wakuu wa makuhani walikutana pamoja na wazee na waandishi na baraza zima la wazee. Kisha wakamfunga Yesu wakampeleka kwa Pilato. Pilato akamwuliza, "wewe ni Mfalme wa Wayahudi?" \v 2 "Akamjibu, "Wewe umesema hivyo." \v 3 Wakuu wa makuhani wakaeleza mashitaka mengi juu ya Yesu.